Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wote Ni wazuri Sana. Ukiweka hela ndani ya dk moja imeingia ktk account, na kutoa Hali kadhalika. Haina kwere.
Meridian wana options nyingi Sana kuliko princess. Princess Wana options chache japo pia wanatoa odds zaidi ya meridian.
Ukweli haya makampuni mawili nayakubali Sana pamoja na kuchapwa vichapo vingi ila wapo vizuri.
Nacho wapendea princes bet, unaweza weka hela yako hata laki,usipo jisikia kubetia unaweza itoa yote. Tofauti na wengine.

Pia princes bet, ni kampuni pekee ambayo nimeweza Kula pesa ...sijui nina gundu na kampuni ya 1xbet kila nikiweka hela huishia huko huko
 
PORTUGAL - FA CUP
Sertanense - Benfica
Tip: Away win
Extra Tip: HT/FT 2/2, HT X2, Over 1.5 goals

VENEZUELA - CLAUSURA
Atletico Venezuela - Trujillanos FC
Tip: HT X

Spain - FA CUP
Almeria - Reus
Tip: Home win

Saudi Arabia - Pro League
AL-Wehda Club - AL-Feiha
Tip: Home win

Indonesia - Liga 1
Sriwijaya FC - PSMS Medan
Tip: Home win
Extra Tip: Over 1.5 goals

France - National
Avranches - Laval
Tip: X2

UEFA Women League
Rosengard(w) - Slavia Praha(w)
Tip: Home win
Extra Tip: Over 2.5 Goals

DENMARK - 1. DIVISION
Hvidovre - HB Koge
Tip: Away win
 
We upo kama mimi!! Nimehamna 1xbet
Nacho wapendea princes bet, unaweza weka hela yako hata laki,usipo jisikia kubetia unaweza itoa yote. Tofauti na wengine.

Pia princes bet, ni kampuni pekee ambayo nimeweza Kula pesa ...sijui nina gundu na kampuni ya 1xbet kila nikiweka hela huishia huko huko
 
Basi mi nakubaliana na hoja kua 1xbet hawana tatizo kwenye miamala ila voda kupitia (MLipa) ndo tatizo.
Nimeloweka kama 12000/= kwa hao wajinga nimefuatilia nikaamua nitulie tu.
Tatizo lipo kwenye mitandao sio 1xbet coz me huku tigo hawaxingui hta kidogo
 
Naomba mnisaidie kama ukiwa unajisajir kwenye meridian ukifika hatua ya promo code pale ndo nashindwa kuipAta iyo promo code naombeni mnisaide kwa ilo
 
Pesa hiyo
Screenshot_20181018-193719~2.jpeg
 
Sorry mkuu, Hivi kwenye hizi kampuni za Kibongo mnaonaga kuna Options za kutosha kweli?

Mimi tokea nimeijua 1xbet naona kampuni za Kibongo walikua wanatubana sana.
MM NAIPENDA SANA ILA TATIZO MALIPO NIMEWAHAMA HAD WAJE TZ TUWE TUNAWEKA KMA KAWA MASWALA YA M LIPA CTAK TENA LABDA KMA KULIPA KWA BENK HAWAZINGUI

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
We paache tu si lazima utaje promo code
sawa nmekuelewa nisaidie jins ya kutoa pesa kutoka kwenye a/c yangu ya tgpesa kwenda meridian a/c hapo ndo ina nichanganya sasa iv hapa naangaika samahan lakn
 
Back
Top Bottom