Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmmhh watu wanalalamika kuhusu meridian kwamba wanazingua kuongeza mech bado unaenda
Naomba mnisaidie kama ukiwa unajisajir kwenye meridian ukifika hatua ya promo code pale ndo nashindwa kuipAta iyo promo code naombeni mnisaide kwa ilo
 
Ndyo mkuu
Angalia steps hizo
Screenshot_2018-10-18-19-50-01.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2018-10-18-19-50-01.jpg
    Screenshot_2018-10-18-19-50-01.jpg
    57.9 KB · Views: 36
Kubet timu nying afu unakuta timu moja Ndo inakuchinja daah inauma vbaya, bola uumize kichwa kwa timu chache afu una weka mpung Wa maana.
YAN NINACHOTUPONZA TAMAA YAN KAMA UNAWEKA TIMU 2 AU 3 50K KWA LAKI 1 FAIDA 50K YAN KMA UNALIWA HUWA INAKUWA BAHATI MANA HII NI BET
 
Ilo mi nimeliona nilikuwa na bet timu nying naliwa mimi tuu kila cku kuna cku nikasema ngoja niweke timu nishachoka kuliwa mimi kuweka kwelii imo nikaona kumbe kinachotuponza tamaa yetu ss wenywe
 
HAWA WATU MAKAMPUNI WAJANJA SANA YAN MTU KULA BUKU KWA MILION NADRA SANA ODD 2 TU ZINATOSHA UKIPIGA 50K KILA CKU HAUKO VIBAYA KWA MWEZ
 
Hata chache pia hua zinachana, inategema tu na upepo ila sema hizo chache kuna uwezekano mkubwa wa kula

Back
Top Bottom