Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1542466025284.png
 
Kwan hujawazoeaa hawa wakishinda kelele nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakiliwa napo vilio[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha jamaa ameuskilizia m bakora wa mnato, hapo ndipo ubaya wa ku risk hela kubwa kwa returns za chini ya 10% ya mtaji! Unatakiwa ucheze magemu mengi sana na ukila mbanga unakuwa hujarudisha mtaji na uliopo unakuwa tayari umefyekelewa mbali! Maumivu yake sio mchezo, i think its better na kustick na tactic ya kubeti kupata faida ya 60%-100% ya mtaji wako! Unawahi kurudisha mtaji na faida mapema ata ukiliwa still mtaji unakuwa haujafa!
 
Back
Top Bottom