nkilondama
Senior Member
- Nov 9, 2016
- 167
- 125
JC7Z6 vaa hilo mbomu likikulipukia me simoooooooooo
Betting ni akili yako na uchambuzi wako mwenyewe na bahati yako pia..hakuna mwenye sure 100%.Hao wezi wala usijaribu,kuna siku mtu mmoja alitakangaza mi nikasema ngoja nichungulie basi nikaenda nikajiunga kwanza hizo za free zenyewe zinabuma kila siku nikaomba aniunge ba VIP ya siku moja nitest kwanza akaniunga akanitumia mikeka miwili ya points mbili mbili, mkeka mmoja ndo ukatoa mwengine chali kumuuliza vipi kakaa kimya ndo nika mdelete hapo hapo
[emoji23][emoji23]Spain Spain Spain jmn daaaaahhhh!!!!!!
Brda vita isonge iendeleeeee
Wapuuzi bora wamefungwa kbsa walishindwa nn kutoa 0ver 0.5 1half????? aseeeeee wangese sana niliweka mpunga mrefu sana nikall at mechi hsijanza nimeamka hapa chali yhn[emoji23][emoji23]
WOOON MKAWITHDRAW.Pesa hiyoView attachment 935799
Mkuu sio poaaaa....jmaaa kanikosha huyoooooWOOON MKAWITHDRAW.
Pole mkuuNimepigwa frankiki moja matata nipo napumua kwanz hapa .....yahn!!!!!
Tehtehteh kama kawaTeam mapopo tayari kwa mapambano [emoji16][emoji16]
Nipo makini hapa nisipitweTehtehteh kama kawa
Goli limepigw dkaki ya 45+ yahn hawa jamaa magagulo kwli yahnPole mkuu
Mkuu ebu uje taratbu maana Putin ni kama kashikwa Tako na trumpTeam mapopo tayari kwa mapambano [emoji16][emoji16]
Utasema huwa wanatuona kipindi unatupia ndoano[emoji16][emoji16] ni nomaaGoli limepigw dkaki ya 45+ yahn hawa jamaa magagulo kwli yahn
Pia hii option ya under sikomagi meme kwanini aaaarrrrgggghhhhView attachment 935809
[emoji3][emoji3]Mkuu ebu uje taratbu maana Putin ni kama kashikwa Tako na trump