Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi gal betting kwenye total mbona sioni over 0.5 .2.5 na kuendeleaa wala under wangese hawa wamenikoseshaa elaaa kwa ujingaa wao aaaaaaaaaaaagh
Screenshot_20181114-092359.png

Zipo mdau haukutaka kuuliza... Nenda kwenye goals.. Zitakuja options Tafuta option ya under/over utazikuta
 
Mzee hebu zifunguee ..mi nshazoeaa zile za o.5.1.5,2.5 hzo nyingine nashindwa zielewaa nielekeze boss

Screenshot_20181114-092359.png

we Jamaa.. hizo kushoto 0.5, 1.5,2.5,3.5,4.5,5.5 Si ndio unachoulizia na nimekuwekea tena mara ya pili... Kweli hauzioni. Kama una swali la nyongeza kuzijua hizo option zingine uliza lakini ulizoulizia hizo hapo.
 
Naona unavutia wateja waje uwaambie unauza tips! Huo ujanja unajulikana mda sana
Hao wezi wala usijaribu,kuna siku mtu mmoja alitakangaza mi nikasema ngoja nichungulie basi nikaenda nikajiunga kwanza hizo za free zenyewe zinabuma kila siku nikaomba aniunge ba VIP ya siku moja nitest kwanza akaniunga akanitumia mikeka miwili ya points mbili mbili, mkeka mmoja ndo ukatoa mwengine chali kumuuliza vipi kakaa kimya ndo nika mdelete hapo hapo
 
Unazingua mzeee!! Kila betting system ina weka kiwango chake cha kubet. Tafuta hapohapo kweny hiyo site utaona. Kuulizana ulizana vitu vdg vya kijinga hivyo ukome. Chet cha shule unacho unashindwa kutumia.
We jamaaa ..... atakuwa na kaugeni twende naye taratibu
 
Hivi kuna aliyefanikiwa kutumia mpesa MasterCard kuweka pesa 1xbet ama paypal,
Kwangu nimejaribu nimeshindwa,
 
Back
Top Bottom