Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

On testing..unaweza chukua zako..marajibio ya awali kumpiga sportpesa kwa JP
View attachment 931888
Jaribio la kwanza lilienda vizuri team 1 ilikataa no 2 zikatoka 0-0 so jaribio la pili litafwata la JP
1542184669222.png
 
1xbet wamewakimbia MLipa nini maana naona kuna mabadiliko sasa hivi.
Sio beyonic tena ni Walletec
Embu jaribuni muone
 
Siombi inikute shida yoyote 1xbet ila mpaka sasa nadeposit na kuwithdraw bila tatizo lolote,zaidizaidi nishukuru sana mzee WIMICKY kwa basketball yaani basketball kiukweli ni tamu jamani,ile ukiwa makini kwa kutumia @1xbet hakika hutajuta.
 
Back
Top Bottom