Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Unaweza ukachat nao katika hilo sijui kiwango cha chini...Asante mkuu.na stake inaanza buku tu au manake niliweka buku
Unaweza ukachat nao katika hilo sijui kiwango cha chini...Asante mkuu.na stake inaanza buku tu au manake niliweka buku
Nataka aliyefanikiwa kwa mpesa MasterCard... atujuzeHivi kuna aliyefanikiwa kutumia mpesa MasterCard kuweka pesa 1xbet ama paypal,
Kwangu nimejaribu nimeshindwa,
Hata mimi ndio nimejaribu hapa mpesa master card imegoma.Hivi kuna aliyefanikiwa kutumia mpesa MasterCard kuweka pesa 1xbet ama paypal,
Kwangu nimejaribu nimeshindwa,
Hata mimi ndio nimejaribu hapa mpesa master card imegoma.
Sijui nimekosea wapi. We imekuketea ujumbe gani mkui
Hata mimi ndio nimejaribu hapa mpesa master card imegoma.
Sijui nimekosea wapi. We imekuketea ujumbe gani mkui
Invalid card number
Ila kuna wana walishawahi kufanikiwa kwa mpesa master card watuelekeze tu
Kwa kadi ya benki inakubali sema hizi benki zetu mizinguo sana, nina karibu miezi mitatu tangu niwaombe crdb waiwezeshe kadi yangu kufanya online purchase lakini hadi leo hola...
Lawama si mzigo !Naona unavutia wateja waje uwaambie unauza tips! Huo ujanja unajulikana mda sana
NBC wako poa sana wao ukifungua tu account wanaiactivate kadi moja kwa moja ila crdb mpaka uende kwenye tawi ujaze form usubir sijui utumiwe meseji mizunguko kibao.
crdb kero katika hilo
Bora niende nbcMe nilishahangaika nao nilivyoona mlolongo mrefu nikaenda nbc kuulizia taratibu za kuactivate wakaniambia kadi imeshakuwa a tivated toka mwanzo nafungua, tokea hapo nikawa natereza kulipia miamala ya mtandao kama kununua vitu ebay, aliexpress na kulipia bili nyinginezo.
Watu wana machale kwelikweliHiv huuu ujasiri mtu anatoa wapiView attachment 933124
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]England National League South
Dartford vs Oxford
GG & over 2.5 @ 2.25[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Combo[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Friendly Games
USA Women vs Scotland W
Under 2.5 @ 3.35[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Stake ½[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
England EFL & FA Trophy
Poole Town vs Brentwood
Over 2.5 @ 1.55[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Mickleover vs Stafford Town
Under 3.5 @ 1.35[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Odds 2.01[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
SASA NAHAMIA RASMI MCHEZA HAWANA TOFAUTI NA XBET INTERMS OF OPTIONS
Watu wana machale kwelikweli
Asante , kwa taarifaNaona system kwa wale wa 1xbet imekaa poa sasa