Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Nazan mcheza naona kuna option nyingi kama za xbet so jaribu iyo AF nasikia awanaga shida naswala na miamalaMKUU MCHEZA,PLAY MASTER NA PREMIER BET IPI NZURI ZAIDI?.
Nazan mcheza naona kuna option nyingi kama za xbet so jaribu iyo AF nasikia awanaga shida naswala na miamalaMKUU MCHEZA,PLAY MASTER NA PREMIER BET IPI NZURI ZAIDI?.
TUKO SOTE MKUUSASA NAHAMIA RASMI MCHEZA HAWANA TOFAUTI NA XBET INTERMS OF OPTIONS
HATA SIFAHAMU BOSS WANGU,NGOJA WAJUZI WAJE!!.Dukeson iv mchezo ni wa apa apa bongo au nila nnje
Jamaa wako safi na bora kama hawana matatizo mwenye miamalaHATA SIFAHAMU BOSS WANGU,NGOJA WAJUZI WAJE!!.
Umeona mkuu mm hii ndo natumia hawana shida unawithdraw hela yako Kwa wakati na inafika kwa wakati karibu sanaSASA NAHAMIA RASMI MCHEZA HAWANA TOFAUTI NA XBET INTERMS OF OPTIONS
Tuko pamoja ingawa XBET kuna laki4 yangu nashindwa itoa watameza au cjui Leo system yao iko freshUmeona mkuu mm hii ndo natumia hawana shida unawithdraw hela yako Kwa wakati na inafika kwa wakati karibu sana
Mie nashauri mtumie chrome ku WITHDRAW pesa kwa 1xbet badala ya kutumia app yao. Mfano leo saa 5 asubuhi nimetoa ndani ya dakika 5 ikawa imeshafika mpesa.
Kuna sehemu ukienda una reject bonus unachukua mpunga wakoTuko pamoja ingawa XBET kuna laki4 yangu nashindwa itoa watameza au cjui Leo system yao iko fresh
Noo yani jaogopa to a nahc haitafika but nataka toa kidgo kidgo nioneKuna sehemu ukienda una reject bonus unachukua mpunga wako
Mbona pesa inatoka tu bila shida. Tumia chromeTuko pamoja ingawa XBET kuna laki4 yangu nashindwa itoa watameza au cjui Leo system yao iko fresh
Basi kuna shida kama ndo hivyoMm cnaga, appnatumia chrome Lkn siku ya3 Leo awajanipa pesa
unatumiaje chrome kiongoziMbona pesa inatoka tu bila shida. Tumia chrome
Yea na sijawahi kupata shida yoyote kwenye kutoaunatumiaje chrome kiongozi
Hhhhhh....Tupia huo mkeka