Eliaskante
Senior Member
- Jun 4, 2017
- 136
- 229
Jamani hata mcheza wako poa tu nawafananisha na 1xbet
Njoo mcheza wako vizur sana1XBET NI JANGA LINGINE TENA PESA YANGU NDOINAPOTEA IV KAMPUNI GN LAUHAKIKA NA LENYE OPTION NYINGI SAIZ NIMEINGIZWA HASARA CWEZ DEPOSIT TENA
Kweli kabisa jamaa hawa wa mlipa hata simu hawapokei ,bora wapokee waseme hawajapokea hela yeyote kutoka 1xbet kuliko kukaa kimya.MKUU TATIZO NI KUWA HATA SIMU HAWAPOKEI,KINGINE CHANGAMOTO KAMA HIZI ZINAPOTOKEA INATUBIDI TUWE PAMOJA NA TUONGEE LUGHA MOJA ILI TATIZO LIISHE,HAKUNA ALIYE SALAMA KATIKA HILI NI SUALA LA MUDA TU!!.
Dk4??😱😱 mkekabet ni game ikiisha sekunde tu mkwanja kabang!Mcheza unawithdraw hata 100 na inaingia ndani ya sekunde
Mm nilianza kubet 1xbet niliwithdraw ndani ya dakika nne ikawa imeingia ila kilichonifukuzisha kule ni kila nikebet napigwa
Tupia huo mkekaJana niliwapiga 89,000 kwenye both teams will score
Ukiona hivyo, hao watu ndio tatizo...either wanapata shida kuitumia 1xbet...or wanaliwa na kuchanganya mafail..msaada waendelee kuwasiliana na customer care ya 1xbet ndio sln pekee kwao,Void na womicky aiseee wasaidieeni wenzenu hata mawazo ya kuwithdwaw ela mbona nyie sijawah sikiaa mlalamiko ya kuwithdrawa this means mnaeza kuwasaidiaa hata kwa mawazo wafanyaje ...sharing is caring lets stand togther as one[emoji120]
Ili nisile tena shart la kubeti usionyeshe mikeka yakoTupia huo mkeka
Link mkuuNjoo mcheza wako vizur sana
Mitandao yote au voda pekee?Mcheza unawithdraw hata 100 na inaingia ndani ya sekunde
Mm nilianza kubet 1xbet niliwithdraw ndani ya dakika nne ikawa imeingia ila kilichonifukuzisha kule ni kila nikebet napigwa
Mkeka bet hawajawahi kuniangusha. Mkeka bet ukishinda tu within 3minutes wanakudondoshea mzigo wako. Maoption mengi nayo yanachangia kupigwa.1XBET NI JANGA LINGINE TENA PESA YANGU NDOINAPOTEA IV KAMPUNI GN LAUHAKIKA NA LENYE OPTION NYINGI SAIZ NIMEINGIZWA HASARA CWEZ DEPOSIT TENA
Wapo kama xbet?Dk4??[emoji33][emoji33] mkekabet ni game ikiisha sekunde tu mkwanja kabang!
SIJUI HIZI AKILI WATU HUWA MNAZITOA WAPI,BY WAY NGOJA NISIKUJIBU TUSIJE KUKWAZANA!!.Ukiona hivyo, hao watu ndio tatizo...either wanapata shida kuitumia 1xbet...or wanaliwa na kuchanganya mafail..msaada waendelee kuwasiliana na customer care ya 1xbet ndio sln pekee kwao,
humu jukwaani watazidi kuchanganyikiwa na green za hao kina void na Wimicky.....
Duke[emoji23][emoji23][emoji23]achana huko usijibu, ww vipi hawakusumbuiiSIJUI HIZI AKILI WATU HUWA MNAZITOA WAPI,BY WAY NGOJA NISIKUJIBU TUSIJE KUKWAZANA!!.
Kwazana na hao 1xbet, vinginevyo hapa ni kupoteza muda..Akili tunaziokota barabaraniSIJUI HIZI AKILI WATU HUWA MNAZITOA WAPI,BY WAY NGOJA NISIKUJIBU TUSIJE KUKWAZANA!!.
SAWA MKUU NIMEKUELEWA,TANGU JANA NIMETOA 150,000/= SIIONI UKIWAPIGIA HAWAPOKEI SIMU,WALINIAMBIA NISUBURI BAADA YA MASAA 24 LAKINI HAKUNA CHOCHOTE BOSS WANGU!!.Duke[emoji23][emoji23][emoji23]achana huko usijibu, ww vipi hawakusumbuii
SAWA ENDELEA KUOKOTA ZINGINE ILI UWE NA AVERAGE THINKING CAPABILITY!!.Kwazana na hao 1xbet, vinginevyo hapa ni kupoteza muda..Akili tunaziokota barabarani