Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
Hujuma zp ss hzooo
 
WALE WA XBET KAMA MNATOA PESA ZENU TOENI NOW JAMAA WASHAWEKA MAMBO SAWA MINIKO NATOA ELFU HAMSINI HAMSINI ZOTE ZINATOKA SOON NAMALIZA
Tena pesa zinatoka fasta sana kuliko siku zote[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ila usisahau kuachia salio
 
Wakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
Inawezekana.. Tatizo makampuni ya nyumbani ni hovyo
 
Kwa wale wazoefu wa pmbet zilee units wanazokupaaa mfano ukazitumiaaa kubetiaa na ukawin unawezaa kuzi withdraw au !?....
 
Wakuu,kuna mtu yupo huko nyumbani anasema kasi ya watu kuhamia 1xbet imewashitua sana hao wenye makampuni ya kubet ya hapo nyumbani,hivyo wakaamua kuteam up & kuwafanyia hujuma 1xbet kupitia M-lipa.
Nimepenyezewa tu na mtu huko.
Kwa hiyo hao M Lipa nao wamekubaliana nao ili watuhujumu sasa tukihama wao commission watakua wanapata wapi?
Si ndio wanapoteza wateja na wao
 
Back
Top Bottom