Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Ngoja nikuache naona hujaelewa ulichoquote mkuu.sasa huo uzi unakujaje huku nyie ndo makasuku tunaowaongelea humu.
Ngoja nikuache naona hujaelewa ulichoquote mkuu.sasa huo uzi unakujaje huku nyie ndo makasuku tunaowaongelea humu.
mcheza.co.tzNimejaribu ila hawaja ntumia link ya kuactivate kwenye email
Ingia link iyo mkuu
Kwani wa hapa ndani wakikudhulumu utawapeleka wapi?
WOOOOON MKAWITHDRAWFuata nyukiView attachment 932889
Hapo sasa mkuu, ndio sababu nawaambia kuwa mtu akiamua kudhulumu anadhulumu tu.DECI walizulumu maelfu ya watu mabilioni ya hela,walifanywa nini,na wamiliki walijulikana.
Agabe ndio kampuni gani Mkuu?Kila nkitoka nkingia humu ndani nakuta malalamiko juu ya 1xbet mm tangia nijiunge na 1xbet cjawah pata tatzo lolote lile zaid zaid nlpoteza Shilling elfu 50000 Akn ilikuwa n kwa ujinga wang nlipokuwa mgeni 1xbet Nlideposit pesa bila kutoa tarifa ya kudeposit Kule kwny 1xbet ilinpate ile message Ndo ntumie pesa mm nkatuma nzma nzma ndo pesa ikapotea ikaenda kwny kampun ya Agabe nkawasiliana na M lipa Wa kanambia nsubl mbk masaa kaza mbk Leo cjawah pata hyo ile n nmewachia hyo kampun ya Agape Ko naweza sema 1xbet wako vzur watumiaji ndo wanamatatzo kama nliyo kuwa nayo mm nyuma
1Xbet sihami, Kabla sijaijua hii kampuni nilikuwa MBet nimegundua kumbe nilikuwa napoteza muda. Technical failure haiwezi kunihamisha kampuni.
WOOOOON MKAWITHDRAW
Sure Mkuu, na hakuna mahali pasipokuwa na changamoto.Hamna kazi ngumu kama kuwahudumia Watu wanaobet..Hatuna uvumilivu tupo short tempered Kukiwa na Technical failure kidogo tunalalamika balaa.
Mtu anashindwa kuvumilia kubet masaa 8 or 9 anaona anapoteza hela nyingi sana.Mbona hata benki sometimes system zinakua down? Hizi ni changamoto za kawaida sana kwenye huduma za mitandao.
Kumbe upo macho mzee baba,twende sawa na NBA mpaka kieleweke.