Naomba kuuliza hawa mcheza wanatumia Vodacom tu kufanya mihamala au na mitandao mingine?Ushamaliza kutoa hela yako 1xbet?
Naomba kuuliza hawa mcheza wanatumia Vodacom tu kufanya mihamala au na mitandao mingine?Ushamaliza kutoa hela yako 1xbet?
Nadhani wamesikia mkuu..stimu zimelipiwa 1XbetNinachohisi kuhusu 1xbet,,,Nadhan kuna hujuma zinafanywa makusudi kabisa na Mlipa ili kuidhoofisha hili kampuni ambalo lilikuja kwa kasi sana kiasi cha kuwakosesha wateja makampuni ya kibongo,,,2. Aidha makampuni hayo yatakuwa yamejikusanya na kushirikiana na hawa Mlipa kwa namna moja au nyngne ili kuondoa uaminifu wa xbet,,,kwa kuthibitisha hayo kumekuwepo na Id nyingi sana humu JF ambazo zinazungumzia hili tatizo kila baada ya sekunde kadhaa na kushauri watu wahamie makampuni ya kibongo, mathalani kuna mmoja kila siku anaulizia hii kampuni imesajiliwa bongo? Na kutahadharisha kwamba mtalia au mtaliwa pesa n.k mawakala wa makampuni ya bongo punguzeni vurugu basi uamuzi wa kucheza kampuni lolote upo kwa mtu binafsi, msitumie bando zenu kushinda humu kushawishi watu waichukie kampuni fulani,
Ninachohisi kuhusu 1xbet,,,Nadhan kuna hujuma zinafanywa makusudi kabisa na Mlipa ili kuidhoofisha hili kampuni ambalo lilikuja kwa kasi sana kiasi cha kuwakosesha wateja makampuni ya kibongo,,,2. Aidha makampuni hayo yatakuwa yamejikusanya na kushirikiana na hawa Mlipa kwa namna moja au nyngne ili kuondoa uaminifu wa xbet,,,kwa kuthibitisha hayo kumekuwepo na Id nyingi sana humu JF ambazo zinazungumzia hili tatizo kila baada ya sekunde kadhaa na kushauri watu wahamie makampuni ya kibongo, mathalani kuna mmoja kila siku anaulizia hii kampuni imesajiliwa bongo? Na kutahadharisha kwamba mtalia au mtaliwa pesa n.k mawakala wa makampuni ya bongo punguzeni vurugu basi uamuzi wa kucheza kampuni lolote upo kwa mtu binafsi, msitumie bando zenu kushinda humu kushawishi watu waichukie kampuni fulani,
Nami wacha nikachungulie pakoje, huenda nikunga tela soonTUKO SOTE MKUU
Nilipiga simu na nikawarumia sms ya muamalamdau uliwapigia simu au?
Kwani ukitumia mastrcar kuna shida jamanMKUU TATIZO NI KUWA HATA SIMU HAWAPOKEI,KINGINE CHANGAMOTO KAMA HIZI ZINAPOTOKEA INATUBIDI TUWE PAMOJA NA TUONGEE LUGHA MOJA ILI TATIZO LIISHE,HAKUNA ALIYE SALAMA KATIKA HILI NI SUALA LA MUDA TU!!.
Wamejaa tele mawakala wao humuHiv kumbe makampuni ya bongo hua wanajua kuna huu uzi huku JF?
Hii ni kampuni gani Kiongozi?
Ndio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.Wamejaa tele mawakala wao humu
Asante kwa ushuhuda wako mkuu, kila mtu akae anapopaamini yeye siyo kusumbuana humu na kampeni za kuchafua wenzao,,,Ndio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.
Leo nimeenda huko.mmecheza mpkaa nimewithdraw ela niliyoweka[emoji23][emoji23][emoji23]wako slow mpkaa wamaliza na bundle lenyewe[emoji23][emoji23]kwa kusubiriaa sema uzuri.mmoja wanarudisha fastaNdio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.
Ndio kutwa wanakesha kuhamasisha watu wahame, kuna ambao wameshanifuata mpaka inbox kunitaka nihame 1Xbet. HapaHatokiMtu.
Nilipiga simu na nikawarumia sms ya muamalaView attachment 932391
Soma post yangu tena sjasema tatizo halipo, lipo sana tu na nimeeleza nionavyo nani atakuwa nyuma ya hizi shida zote,HAYAJAKUTOKEA MKUU UNA HAKI YA KUSEMA,LAKINI YAKIKUTOKEA SIJUI KAMA UTAKUMBUKA HAYA UNAYOANDIAKA,BY THE WAY HAKUNA MTU ANAYEMSHAWISHI MWINGINE KUHAMA KWENDA SEHEMU FULANI
(KU - BET SIO ITIKADI YA DINI/VYAMA) ANYONE IS WILLINGLY TO DO ANY THING AT ANY TIME,ILA UKIAMBIWA KWAMBA HELA HATUPATI NI KWELI HATA UKITAKA USHAHIDI TUKUWEKEE HAPA.
MKUU NAKUOMBA UNITUMIE HIYO NAMBA YAO INAYOPATIKANA WHATSAPP TAFADHALI!!.Hatinaye M LIPA wamenirudishia hela yangu ya tangu j5 ilopita. Nmekoma kabisa kuwatumia hawa m lipa.
Hakuna mkeka wa bureTembelea hapa kujipatia mkeka wa bure kila siku UHURU BET GROUP
Karibu sana na waalike na wenzako.
Dah ila hayo makato yao ni ya kukata na shoka!Naona MCHEZA Natoa ela inafika ndani ya sekunde ishirini safiiii nahamia uku
Dah ila hayo makato yao ni ya kukata na shoka!