Ninachohisi kuhusu 1xbet,,,Nadhan kuna hujuma zinafanywa makusudi kabisa na Mlipa ili kuidhoofisha hili kampuni ambalo lilikuja kwa kasi sana kiasi cha kuwakosesha wateja makampuni ya kibongo,,,2. Aidha makampuni hayo yatakuwa yamejikusanya na kushirikiana na hawa Mlipa kwa namna moja au nyngne ili kuondoa uaminifu wa xbet,,,kwa kuthibitisha hayo kumekuwepo na Id nyingi sana humu JF ambazo zinazungumzia hili tatizo kila baada ya sekunde kadhaa na kushauri watu wahamie makampuni ya kibongo, mathalani kuna mmoja kila siku anaulizia hii kampuni imesajiliwa bongo? Na kutahadharisha kwamba mtalia au mtaliwa pesa n.k mawakala wa makampuni ya bongo punguzeni vurugu basi uamuzi wa kucheza kampuni lolote upo kwa mtu binafsi, msitumie bando zenu kushinda humu kushawishi watu waichukie kampuni fulani,