Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh mpaka sasa naona 1xbet bado kuna tangazo lao la kutokupatikana kwa huduma za mobile payment
 
Odd 17+
Screenshot_20181113-194543.jpeg
 
Kama wewe una withdraw hela ndogo ndogo bac 1xbet hawana shida na wewe. Lakini kama una withdraw hela ndefu mf.800k, 1mil, 2mil, bac utafungiwa akaunti yako tu. Amini, Usiamini.
Kuna watu Wagumu sana kuamini siku likiwatokea watajua,ni suala la muda!!.
 
1xbet haijasajiriwa hapa tanzania ,ina mana hawalipi kodi,inatumika kinyemela na kinyume cha sheria, hivyo usalama wa pesa yako ni mdogo sana.Na hata ikitokea kudhurumiwa hauna pa kuwapeleka ,huo ndo ukweli na kupga hela wanapiga kwa ujanja sana

Hao Mlipa si wakuwalaumu mana ni mawakala na wanafanya kazi kwa mjibu wa sheria na pengine yeye ndo anamakosa zaidi hata ya Mlipa kwa sababu hajakaa kiutaratibu.

WE HUJIULIZI KWA NN KAMPUNI ZINGINE ZIPO ACTIVE SANA ZAIDI YAO.Huduma yao itasitishwa mda si mrefu.
Nyinyi ndo mawakala wenyew unakitozaje kod chombo bora cha dunia.......

Ebu kawambie waliokutma waborshe huduma zao waache ujnjaujnja
 
hapana tunaelezana tu tunapocheza tuwe na moja kichwani na tuwe tayari na aza yoyote,kwenye vita usiulize risasi imetokea wapi,ndo hizo aza sasa.UNAWEZAJE KUFANYA BUSINESS NA MTU ASIYE NA OFISI MKUU HATA KAMA HUJASOMA,UNAMUAMINI UNAMPA MTAJI WOTE.LIKITOKEA LA KUTOKEA LAZIMA ULIE TU
Bwana ww tuache Anglia ustaarbu wako kwani pesa si zetu zinakuuma nn....???

Peleka ubashite hukooo
 
Eti hawana ofisi, kwani ukiwa na ofisi kama una lengo la kudhulumu unashindwa kuifunga na kusepa. Dhulma haichagui.
 
Hiv mkuu ww ulishapata shida na hao M-lipa? Maana sijawahi kusikia ukilalama na mishindo huwa unapiga daily na naamin utakuwa unawithdraw kama kawaida.
Au hamjasikia ya PRIDE huko MTU kasepa na shekeli. Dhulma haichagui nchi. Tena wakati mwingine multinational companies ni bora zaidi kuliko countrywide companies.
Cha msingi kila MTU abaki anapopaamini.
 
Baada ya 1x bet kuzingua, Nimerudi GAL Sport betting naona wana option kibao naona cku hiz kudeoisit ni direct kwao maana zaman walikuwa wanatumia M LIPA
 
Back
Top Bottom