Kandu88
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 742
- 840
Sawa mkuu nimekupata.
Mkuu shida kubwa ambayo imeshanipata nilideposit hela 500k ikachelewa nusu saa.
Mkuu shida kubwa ambayo imeshanipata nilideposit hela 500k ikachelewa nusu saa.
XBET ni hii hapa >>>This Web site is not available in your country.wakuu naomba kuelekezwa kuhusu 1xbet naona mnavyo ichambua tuu,Ila naombeni kunifahamisha ina chezwaje Na ina patikanaje?
Yeah ni M-LIPA.Na hiyo case kuchelewa ilikuwa kwa m.lipa bila shaka
Wewe ndiye umep0teza laki nane?Jaribu kuingia google, utaona mwenyeweView attachment 932587
Changamoto zipo, ila Sometimes kuchafua reputation ya kampuni hufanyika na wapinzani kibiashara. Wapinzani huandika reviews ili kuchafua kampuni zinazoonekana ni tishio kwao kibiashara. Sio kila kinachooandikwa google kina ukweli hata Mimi naweza kuingia na kuandika review kuwa kampuni fulani wameniibia milioni kumi hata kama sio kweli.Hawana sifa nzuri ata kwenye web. We ingia google alafu utaona.
WATU KUAMINI HADI YAWATOKEE ,ILA SAWA MANA HELA NI YA KILA MTU NA ANAUHURU WA KUITUMIA KADRI AWEZAVYO ILA SASA MPUNGUZE LAWANA NA HAO WATU ,MANA MMEWAFATA NYINYI WENYEWE NA WALA HAMJALAZIMISHWA KWA MJIBU WA KAULI ZA WACHACHE HUMU JUKWAANI.Mimi leo hii, nmetumiwa ujumbe kwenye emailView attachment 932575
Kuna matatizo kama haya yanayolalamikiwa na wadau yanatokea kwenye makampuni tanzania na kama hayatokei unafikiri ni kwanini ni 1xbet tu?Changamoto zipo, ila Sometimes kuchafua reputation ya kampuni hufanyika na wapinzani kibiashara. Wapinzani huandika reviews ili kuchafua kampuni zinazoonekana ni tishio kwao kibiashara. Sio kila kinachooandikwa google kina ukweli hata Mimi naweza kuingia na kuandika review kuwa kampuni fulani wameniibia milioni kumi hata kama sio kweli.
We em kitulizee!! Nenda google katafute huko!! We unaona watu wako very bored hlf una induce ujinga. Tuliawakuu naomba kuelekezwa kuhusu 1xbet naona mnavyo ichambua tuu,Ila naombeni kunifahamisha ina chezwaje Na ina patikanaje?
Minatumia chrome mkuuhiyo apk yao hao MCHEZA naipataje kiongozi
Ndio mkuu nimetoa yote sijaacha hata mia lkn laki3 yangu ata cjui nitaipata vpUshamaliza kutoa hela yako 1xbet?
Hahahaa ukaamua kuwachanaNilipiga simu na nikawarumia sms ya muamalaView attachment 932391
Minatumia chrome mkuu
Skrill how msaada plzzHivi haya malalamiko mbona yamekuwa mengi
Kwan n lazma u-deposit au ku-withdrawl kwa mpesa au tigo pesa? Option ni nyingi waweza tumia visa au MasterCard au skrill n safe zaid