Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndo natumiaa hapa lakin ukisha depositi ela haitoki ......bt mcheza nikideposit ela nikaona inazinguaa nikawithdraw hapo hapo haikichukua sekunde wala hawakati ela
Wakuuu kumenoga huku mambo simple. Code kila kitu kimewekwa clear. Wanakwambia ukikwama chcht una uhuru wa kuwasiliana na huduma kwa wateja. Cyo hao wengn tunafanya kutafuta namba. Viaz kabsa hao!! Presha za nnView attachment 932639
 
Swala sio kukatwa ww, wao ndo wanalipa hiyo kodi on ur behalf mkuu
Kwani unapodeposit kwa 1xbet ni sawa na unapodeposit kwa kampuni nyingine kuhusu makato? Mbona wagumu kuelewa wazee yaaan beyonic tayar wanakuwa wanalipa kodi yaan hela yako kila ukidosit serikal ishakula chake
 
Nilianza Ladbrokes, nikaja bet365
Nikaja William hill.
Hapa TZ sijui kama kuna kampuni sijawahi itumia,
Lakini walau mapungufu kila sehemu.....yapo
 
Kwani unapodeposit kwa 1xbet ni sawa na unapodeposit kwa kampuni nyingine kuhusu makato? Mbona wagumu kuelewa wazee yaaan beyonic tayar wanakuwa wanalipa kodi yaan hela yako kila ukidosit serikal ishakula chake
Duh mkuu yaan ni mgumu sana kuelewa, ww unapoplace bet beyonic wanakulipia kodi wakati gani?
 
MKUU MIMI NATANGAZA KUHAMA RASMI,SIWEZI KUWA NAJIPA PRESSURE
ZISIZO NA MSINGI.

- KUTAFUTA PESA YA KU DEPOST TABU
- KUWEKA PESA NI BAHATI NASIBU IFIKE AMA ISIFIKE.
-KU BET TABU(PRESSURE YA MKEKA)
-UKIBAHATISHA KUPATA PESA YAKO JASHO
- OFFICE MAALUM HAKUNA
- MOBILE PAYMENT TABU DAKIKA MOJA ZIPO YA PILI ZIMEPOTEA

NIMECHOKA NA HIZI STRESS AISSE NGOJA NIWAUNGE MKONO HAWA LOCAL COMPANIES!!.
Princess bet ndio suruhisho lako, point nzuri malipo fasta.
 
But very poor in game distribution, kinachowafanya watu wang'ang'anie 1xBet ni kwa vile hawabagui game zote zipo alimradi ziwe zinachezwa kwa siku husika! Kule kwengine wanaweka game chache sana na za live waweza kuta zinazoanza mchana tu na sio ligi zote, its way better kuwa 1xBet kuliko kampuni nyengine yeyote japo Transactions hazipo stable!
Mie leo ilikuwa kama bahati, niliwithdraw kiasi kukidhi shida zangu.Baadaye nikapata pesa nikaona nizibe pengo, nakutana na ujumbe wa huduma za Airtel Money, TigoPesa na M-Pesa hazipatikani.Sasa sijui mpaka lini zitarudi ni suala la kusubiri tu.
 
Back
Top Bottom