kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
wewe umetumwa pia sasa waambie waliokutuma wamefeli na tumeshatuma email 1xbet kuwataarifu hili suala kwa maana hiyo figisu zenu ni bure kabisa badala ya kutafuta njia bora za ushindani mnataka kutuletea ukasuku kwenye shamba letu shame pumbav.u sana nyie tafuteni njia nyingine ya kutafuta masoko sio hii, hapa mmeshafeli mtihani kabla hata ya matokeo makumazani nyie.Mkuu Honestty, Mimi siyo wakala ni mgangaji kama wewe lakini najaribu kuwaonesha ninavyo enjoy kuweka na kutoa pesa.