Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jilipue
Screenshot_20181115-212147~2.jpeg
 
Tehtehteh, kupasuka kupo ila utakuta natega ndoano nyingi ,mfano kama kumi ukipasuka tatu, saba zimetick mambo shwari. Sasa kama mtu anataka atege ndoano moja tu na awin, tehtehteh
Mkuu wewe ndaono zako zakibabe sana wafate wenye roho ngumu t......yahn unawekaga over usiku ww
 
Hawa jamaa washaanza figusu yahn mpka mechi imefka ddk ya 85 hawajnipa changu........wanafikiri ndo nitawahurumia hapa ni masaa 7 tu ya kutfauta laki moja keshi..........
Screenshot_20181115-214338.jpeg
 
Back
Top Bottom