Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bomu hilo wakujilipua twende pamoja
Screenshot_20181115-134328.jpg
 
Daah CEO himself Rockcity Native umetuachia huu urahibu halafu ukatoka nduki...
 
LEBANON NA MWENZIO DAAAAAH
Hahahaha kaka hao me nusu waniue kwa presha yahn nimeweka 20k option ya yellow card under 4 hapo jumla zilikuwa 3 hafu dkk ya 83 kwann isitokee penat bwana mzgo ukawa refund nashukuru ilikuwa friends match bila ivo ningepotea.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huwa nashangaa sana mtu pamoja na kwenda kwako darasani unaposhindwa kutambua kua mitandao pia huwa inapatwa na matatzo, sasa unakuta mtu akikutana na tatazo utakuta anakimbilia kusema oooh nimetapeliwa anajaza thread kwa lawama lundo, malalamiko kibao, jaribuni kua matured na mjiongeze ukiona mahali hapakufai hama tu. Systems pia hufeli jamani
Kweli mkuu, waliozoea kutumia systems wala hawawezi kushangaa.
 
MERIDIAN BET: wanao tumia hii kampuni naombeni msaada kutoa hela inakuwaje maana najaribu nashindwa. Nikishwa bofya withdraw sioni kinachoendelea.
 
Hahahaha kaka hao me nusu waniue kwa presha yahn nimeweka 20k option ya yellow card under 4 hapo jumla zilikuwa 3 hafu dkk ya 83 kwann isitokee penat bwana mzgo ukawa refund nashukuru ilikuwa friends match bila ivo ningepotea.
Mkuu options zote zina presha ila option ya under presha yake ni kubwa zaidi, hebu fikiria mfano kwenye basket umeweka under 50 halafu zimebaki sekunde 30 vikapu viko 48 mtu anafungia kwa pembeni inakuwa vikapu vitatu jumla inakuwa 51. Tehtehteh
 
Back
Top Bottom