Wadau naona 1xbet wameweka airtel na Tigo kama recommended method tutumie lakini ukiangalia kwenye mobile payment Voda ipo naomba kujua Voda naweza kuitumia au la
Kampuni gani hii insyotumia pound?Mkuu nimecash out £100 na ushehe hvi, mpunga upo ktk account tayari
Sidhani kama kuna mbadala wa 1xbet... Hebu tujaribu kuwa hata na credit card kama vile za bancAbc ambazo hata haitaji uwe na account ya benki huko BancAbc..WAKUU SITAKI STRESS NIMEACHANA NA 1XBET,NI KAMPUNI GANI NYINGINE NZURI AMBAYO HAINA MAKATO NIJIUNGE?.
Sidhani kama kuna mbadala wa 1xbet... Hebu tujaribu kuwa hata na credit card kama vile za bancAbc ambazo hata haitaji uwe na account ya benki huko BancAbc..
tuachane na hizi njia za kufanya miamala kwa simu...
Maana tatizo kubwa hapa ni kutoka na kuweka pesa...
Na hili ni tatizo la mawakala ambao ni m-lipa... BTW binafsi tangu nianze kutumia 1xbet sijawahi poteza pesa iwe wakati wa kutoa ama kuweka pesa...
Unatumia mastercard ya bank gan mkuu.. Nbc wako vizur ktk kujisajili au
Binafsi natumia mobile option kuweka na kutoa pesa 1xbet.. ila ukiwa unatumia MasterCard inakuwa rahisi sana na boraUnatumia mastercard ya bank gan mkuu.. Nbc wako vizur ktk kujisajili au
Ulikuwa unapata sms kabla hujaituma hio hela 1xbet mkuu?Voda ipo poa nimewithdraw hela muda si mrefu imefika poa kabisa.
Mkuu naomba nifafanulie kuhusu hio credit card ya Bancabc ambayo haihitaji kufungua accountSidhani kama kuna mbadala wa 1xbet... Hebu tujaribu kuwa hata na credit card kama vile za bancAbc ambazo hata haitaji uwe na account ya benki huko BancAbc..
tuachane na hizi njia za kufanya miamala kwa simu...
Maana tatizo kubwa hapa ni kutoka na kuweka pesa...
Na hili ni tatizo la mawakala ambao ni m-lipa... BTW binafsi tangu nianze kutumia 1xbet sijawahi poteza pesa iwe wakati wa kutoa ama kuweka pesa...
Ukiona ivyo ujue siku iyo kuna matatzo ya kimtandao huku bongo, Hao jamaa kutoa na kuweka pesa huwa wao ni Faster sijawah kuonaMKUU HUONI KWAMBA "KUTOKUWA NA TRANSACTION ZA UHAKIKA NI TATIZO" KUBWA ZAIDI YA KUWA NA POOR GAME DISTRIBUTION?.IMAGINE KUNA MDAU JUZI KASHINDA LAKI 8,WAMEMSUMBUA KUTOA MWISHO WA SIKU ANAANGALIA ACCOUNT ANAKUTA INASOMA 0.0,WATU WENGI HUMU WANALALAMIKA,HATULALI USINGIZI TUNAKESHA TUNAJARIBU BAHATI MWISHO WA SIKU UNACHOKIPATA HUPATI,MAANA YAKE NI NINI,HIZO MECHI NYINGI FAIDA YAKE NI NINI?.AIM YA KILA MMOJA NI KUPATA HELA,SI KUONA DISPLAY YA MECHI NYINGI.KUNA WADAU HUMU LEO WANA SIKU YA KUMI HAWAJAPATA PESA,MIMI NIMETOA JANA 150K SIIONI,MASAA 24 YAMEPITA,BADO NIENDELEA KIIFURAHIA KUWA NA OPTION NYINGI,ZILIZO USELESS?.
MKUU UNAWEZA NISAIDI JINSI GANI NAWEZA KUJIUNGA NA GAL SPORT BETTINGUkiona ivyo ujue siku iyo kuna matatzo ya kimtandao huku bongo, Hao jamaa kutoa na kuweka pesa huwa wao ni Faster sijawah kuona
NimeshapataMsaada namba za customer service za m cheza
Nimejaribu Kama kutest mitambo hata buku 5 bila kungoja sms yao! But imekubali fresh tu hata bila ya sms yao (kwa Vodacom)Naona 1xbet washatoa lile tangazo la UNAVAILABLE, ila nimejarib kurequest kulipa bado hawajanitumia msg
Mimi nipo 1xbet sihami wala sitarajii kuhama maana ndio kampuni ninayoikubali...wala sijawahi kua na tatzo naoMKUU UNAWEZA NISAIDI JINSI GANI NAWEZA KUJIUNGA NA GAL SPORT BETTING