Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nieleweshe hapo.. Bet inakuwaje WON ikiwa umebeti DRAW ndani ya interval ya dakika tano wakati naona kuna timu moja ina goli tayari?
Yahn ndani ya dkk 5 lisiingie goli then weka mzgo....kuliwa mara chache saana ila presha yake sio poa aisee
 
Hapo kwa sasa nimekuwa kondakta wa mrusi nazikusanya tu buku mbili mbil zake buku jero yahn mchawi uwe na mda wa kutosha kama hii ndo ofsi yako bhs unavuna ukiwa seriaz kwa masaa ma5 unapiga laki bila presha yahn......hapa bado namwandalia makombora ya kumtungua.
Mkuu naomxa unielekeze jinsi ya kupata hii option kwenye 1xbet, na vp naweza nikaweka day zaidi ya elfu mbili?
 
Mkuu hii option ni tamu sana hasa kwa timu zenye uhaba wa magoli.
Hata goli likiwepo sio mbya tena ukiona mechi mtu anaongoza 3 hyo ndo tamu maana anarelax ......pia utaget dakka zako 5 hafu dakika hzo ndo goli liingie bus utakuwa na gundu lililotukuka ukaoge maji ya bahari tu kwakweli... yahn me tangu nianze ni kijani zinatembea t nilianza na buku 3 leo asubui .....mpka sasa hivi nina 33k na nacheza kivivu yahn sio kio kazi kazi kuna mda nafnya mambo mengine.
 
Mkuu naomxa unielekeze jinsi ya kupata hii option kwenye 1xbet, na vp naweza nikaweka day zaidi ya elfu mbili?
Mkuu nimetuma pc zinajieleza jrbu kizpitia vzr pia uwe na msingi mkubwa ukiweka buku utakuwa unakula 35 faida.....ukiwa na 10k ya kuanzia sio mbya ukitaka za haraka ndo kakope laki ndani ya lisaa ushaipata yahn
 
Mkuu options zote zina presha ila option ya under presha yake ni kubwa zaidi, hebu fikiria mfano kwenye basket umeweka under 50 halafu zimebaki sekunde 30 vikapu viko 48 mtu anafungia kwa pembeni inakuwa vikapu vitatu jumla inakuwa 51. Tehtehteh
Option ya under ni nzuri sana kwenye tenis
 
Safi mkuu, ila wale wasiopenda green humu utawaua kwa presha. Tehtehteh.
Kwa kwa kwa

mkuu umenipanikasha sana na kijana zako aisee .....wapambane tu na wao na tip nimewapa kazi kwao yahn........tukumbukane kwnye kula matunda maana kuna wachimba chumvi et wanauza tips hafu unapsuka vilevile....!!!!
 
Mkuu nimetuma pc zinajieleza jrbu kizpitia vzr pia uwe na msingi mkubwa ukiweka buku utakuwa unakula 35 faida.....ukiwa na 10k ya kuanzia sio mbya ukitaka za haraka ndo kakope laki ndani ya lisaa ushaipata yahn
Mkuu bado nimekwama nipe japo intro ya kupata Hiyo option
 
Buku 2 ni kubwa sana kwa dk tano, watu wanafanya kazi ya uwakala asubuhi mpaka jioni anapata elfu 5000. Wewe unaingiza ndani ya robo saa.
Hahahha hapo mtaji 20k tu mkuu Kama ukiw na malaki kam yao ni 20k per 5mins

Angalia kitu hiko yahn 3300 kwa dakika 5 nyuma ya keyboard yahn ni mwndo wakipga pesa kimwinyi.






kwakweli wakuu muwe mnajirbu kuzipruzi option hasa zenye odds ndogo ndo zenyewe.....hahahaha

Screenshot_20181115-171426.jpeg
 
Jinsi ya kupata hiyo option ya kuchagua draw ndani ya dakika tano
Unaingia quick event hapo mkuu kuna mechi zngine hawaweki yahn kuna option ya wanyumban apte goli au wa ugenini(hapa mipoint kama unacheza ngumu kumeza maana kutokea nadra)au watoke sare ndani ya dakka 5 hizo ko kazi kwako option ipo mbele ya kadi za njano hukoooo......
 
Back
Top Bottom