Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hii naona san jose wamekata pumzi hawaroboi over 46 hii hawa san diego wanaenda kumaliza mapema tu.
Yeah namimi naona ila umeona jinsi 45.5 na 46 inavokauwa na angalau uhakika? Endelea kuchunguza kwa zile timu zinazofungana sana
 
Wakuu mpo umu naona basketball wengi mmeikimbia mmeniachia mimi na WAMICKY so far tizi langu linaenda vyema sana na naona uko mbele tunaelekea kuzuri basda ya muda kidogo nita finalize kuhusu kale ka theory kangu uchwara sio mbay kwa leo ela ya chai imepatikana ela ya mboga imepatikana na ya bia mbili pia imepatikana

Nb tamaa ndo adui wa mafanikio katika mchezo huu wa kubet ama kubashiri the higher the tamaa the higher rangi nyeusi kwenye profile yako mnakuwa marafiki wa kudumu the lower the tamaa the higher rangi za kijani mnakuwa marafiki wa kudumu, huo ni ushauri wangu u can take it o leave it!! Kudos WAMICKY, VOID , PIDIDY NA WENGINE WENGIView attachment 938174View attachment 938175
 
Safi sana mkuu[emoji122][emoji122]
 
Mkuu mbona izi ukutupia na sisi tufuate
 
Naona mambo shwar we endelea kuchimba tu mkuu ukimaliza project yako uje ufanye presentation hapa hapa jukwaan, hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…