Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mpo umu naona basketball wengi mmeikimbia mmeniachia mimi na WAMICKY so far tizi langu linaenda vyema sana na naona uko mbele tunaelekea kuzuri basda ya muda kidogo nita finalize kuhusu kale ka theory kangu uchwara sio mbay kwa leo ela ya chai imepatikana ela ya mboga imepatikana na ya bia mbili pia imepatikana

Nb tamaa ndo adui wa mafanikio katika mchezo huu wa kubet ama kubashiri the higher the tamaa the higher rangi nyeusi kwenye profile yako mnakuwa marafiki wa kudumu the lower the tamaa the higher rangi za kijani mnakuwa marafiki wa kudumu, huo ni ushauri wangu u can take it o leave it!! Kudos WAMICKY, VOID , PIDIDY NA WENGINE WENGIView attachment 938173View attachment 938174View attachment 938175View attachment 938176View attachment 938177View attachment 938178View attachment 938179View attachment 938180
Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
 
Msaada hapa wazee wenzangu! Jamaa wanataka niconvert hela iliyoko kwny account kwenda USD, kuna namna ya kuikataa hii kitu? Maana sielew elewi hapa
Screenshot_2018-11-18-07-55-04.jpg
 
Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
Mbona wengi wanacheza gizani humu uwambie wakishinda ndo wanaleta aisee
 
Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
Haya bro ila ilo giza sijalielewa mkuu ama ni gizan gan unaliongelea kaka kila siku mimi niko apa mwisho wa siku mi angalia ninachoandika mi nasema niko napiga tizi mkuu mimi siyo pro still natafuta ujuzi chief ila pia maskini hawezi kuupata utajiri kwa kumchukia tajiri boss
 
Mbona wengi wanacheza gizani humu uwambie wakishinda ndo wanaleta aisee
yan bro mi sijui hii Africa chuki tutaziacha lini yani kumbe nimefahamu apa mtu anataka yeye akiliwa basi wote mliwe ndo yeye anafurahia ila wewe ukishinda basi yeye anachukia duhh hii hatari aisee mtu anasahau kuwa hawezi kuwa wa kwanza darasani kwa kumchukia yule nayekuwa wa kwanza bila kujifunza kutoka kwake
 
Haya ndoano hii apo mi nimeweka stake ndogo kwa sababu ya hesabu zangu ninavyotaka ziende so anayetaka kufuata afuate asiyetaka ok sawa ila ni ndoano inaweza ikanasa
Screenshot_20181118-081558.jpg
 
Daah!! Mzee baba kiukwel nimejifunza asee mkeka ulikuwa na mechi 26 nmekosa moja, atleast ngechukua chache za uhakika.
 
Back
Top Bottom