ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,261
Aaaah weka laki ukutane nrungu la mjerumani broo na kilio chake hapo kinakuwa ni mara tano?Hahaha mkuu salama..adimika sana na Analysis ya uwakika..hata ukieka laki 1 unaona tayari umeshinda kabla ya result...leo tupo tunatest mitambo kidogo,,