Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata ukiwa na Hela kubwa Mwendo ni ule ule kipigo ni kipigo tuu kwani Unadhani Ukiweka Laki ndo Mchezo unabadilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mchezo ni ule ule ila stress ndo itabadilika itakuwa kubwa zaidi
Yaan siku nikisema niweke dau la juu napigika mbayaaa,ila nikiweka jero nawin[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na mm hatunaa tofauti nikiweka mia 3 ndo nakula nikiweka ela kubwaa naliwa
Daaah iyo hali imenitesa sana na kwa muda mrefu joh ila nashukuru kwa sasa tayari nimefaikiwa kuifuta kuiondoa kuikimbiza maana kitambo mimi ilikuwa nikiweka miatatu nakula ila nikiweka kuanzia buku mbili kwenda mbele ni majanga kweli kweli ila now daaah namshukuru Mungu mambo yanaenda fresh hiyo hali nimefanikiwa kuivuka so ni state ya muda tu mazee ukikomaa utaivuka broo
 
Mi nilijitusua na 4000 imepigwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeanza tena upyaaa dah
Aaaaaaah mzee baba pole hiyo ni hal fulani tu ya muda utakwenda nayo mpaka itafika kipindi utaivuka mkuu wote iyo hali tumeipitia kikubwa ni kuwa mvumilivu na ukubali kujifunza mkuu
 
10+ Odds
1542529038265.png
 
Aaaaaaah mzee baba pole hiyo ni hal fulani tu ya muda utakwenda nayo mpaka itafika kipindi utaivuka mkuu wote iyo hali tumeipitia kikubwa ni kuwa mvumilivu na ukubali kujifunza mkuu
Kwakweli naendelea kukusanya mtaji
 
Back
Top Bottom