Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Tumen mkeka mlio kula jaman eehWatanilaza na viatu Leo.View attachment 938680
Nipe code ya hii gameAisee nimeweka 300 tu ila salio naona limeleta laki 8 khaaa!!! Ila mamechi hadi ya tarehe 24 mzee ni nomaaa unasubiria green mpaka unasahauView attachment 938616
VuruguKuna nini hii timu ya congo brazzavile vs drc congo?mbona hawaendi second half wazee?
Alshaabab wamevuruga mechiKuna nini hii timu ya congo brazzavile vs drc congo?mbona hawaendi second half wazee?
Mechi imeahirishwa?Vurugu
Al shabab tena mkuu??Alshaabab wamevuruga mechi
Mkuu mkeka ukitiki superbet huwa wanaweka hela baada ya muda gani?Super betView attachment 938701
Mechi imeanza tayari..Mechi ya Congo VP jamani kulikoni maana naona half time tokea muda ...kama kuna MTU ana taarifa nayo!
Namba ya kampuni bado ni ile ile 400700..ila kumbukumbu namba au reference number ndo imebadilishwa kuwa 009Wakuu nilikua nataka kuweka pesa 1xbet ila msg yao ya walletec ipo hivyo haina namba ya kampuni sijajua wamebadilisha ile namba ya 400700??View attachment 938715
ZA FB KUOMBA OMBAAA ZIISHIE HUKO HUKOOkampuni gan