Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa direct win taifa stars anawasalimia kwa sauti kubwa kama gazeti la ngurumo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sema kitu kikubwa mkuu
Ni bora mtu ujue namna ya kucheza peke tako inapendeza zaid kama ww ulivyojitrain hadi umepata mwanga
Hizi wanazorushia hapa iwe bonus tu na kumotivate watu
Kama hutojali naomba unieleweshe maana ya handcape kwenye basket maana maana yake
Nicheck pm bob itakuwa rahisi kukuelekeza direct broo kama hutojali
 
Watanilaza na viatu Leo.
Screenshot_20181118-184720.jpeg
 
Back
Top Bottom