Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

TANGAZO​
TANGAZO​
TANGAZO​

wakuu naombeni mnigee jero nibeti maana leo axubuh nimepigwa na mrusi hadi hapa nipo naona wenge la hatari![\color]
Kwa mwenye huruma anaye2mia 1xbet Anirushie kupitia Idd number 48855641
Una miaka.mingapi??how come unaombaa jero??
 
yan bro mi sijui hii Africa chuki tutaziacha lini yani kumbe nimefahamu apa mtu anataka yeye akiliwa basi wote mliwe ndo yeye anafurahia ila wewe ukishinda basi yeye anachukia duhh hii hatari aisee mtu anasahau kuwa hawezi kuwa wa kwanza darasani kwa kumchukia yule nayekuwa wa kwanza bila kujifunza kutoka kwake
Sema kitu kikubwa mkuu
Ni bora mtu ujue namna ya kucheza peke tako inapendeza zaid kama ww ulivyojitrain hadi umepata mwanga
Hizi wanazorushia hapa iwe bonus tu na kumotivate watu
Kama hutojali naomba unieleweshe maana ya handcape kwenye basket maana maana yake
 
WEKAMKE
Screenshot_20181118-165052.png
 
Mkuu nilivyoichungulia hii kitu first half draw nikaiogopa second nikatulia nakuja kuchungulia second half nilitaman kulia sio kwa kupishana na mihela aisee.
Mkuu huyu Sociedade huwa ananifurahisha,Asipofanya show kipindi cha kwanza anamaliza mchezo kipindi cha pili, ni hatariiiii.
 
Mkuu nilivyoichungulia hii kitu first half draw nikaiogopa second nikatulia nakuja kuchungulia second half nilitaman kulia sio kwa kupishana na mihela aisee.
Mkuu pesa ilikuwa nje sema mrusi alikuwa kama yuko uwanjani kila baada ya muda mfupi anablock. Aisee
 
Back
Top Bottom