Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Aisee eeeeView attachment 938724
Pamoja mkuuSafiii mkuu.. Nikiona hivi nafsi yangu inaburudika utadhani mimi ndo nimempiga mnywa pombe kali.. Keep it up mkuu!!!
Ulibet dk ya ngapAisee eeeeView attachment 938724
TUJITOE MHANGA
Lorient over 0.5 odss 2.48
Hii mechi imeishaje wakuuPesa ya saa Tisa alasiri hiyo.View attachment 938437
Imeisha 4-2 yote yamepatikana kipindi cha pili.Hii mechi imeishaje wakuu
Sidhani kama hii itatoa mkuu.. Lakini ngoja tusubiri!
Dakika ya 84 walikuwa 1-1.Ulibet dk ya ngap
Daah mwenye kamtaji msaada kwenye account yangu ya 1x maana nishafumuliwa leo sina hata miaHii mechi imeishaje wakuu
Mbona nimeandikiwa lost mkuu na niliukopi kama ulivyoImeisha 4-2 yote yamepatikana kipindi cha pili.
Hii mechi imeishaje wakuu
Yeah ni lost kwasababu kipindi cha kwanza hakujapatikana goli.Mbona nimeandikiwa lost mkuu na niliukopi kama ulivyo
Daah kwani over 1 si ni ft au iliku ht?Yeah ni lost kwasababu kipindi cha kwanza hakujapatikana goli.
Mkuu hapo nimekukubali maana inabid uwe na roho ya paka maana unaeza ukaanguka ukafa[emoji12] [emoji12]Aisee eeeeView attachment 938724
Kama kawaida yangu,
Kama kawaida yangu,
Mondo moja tu, kama Uliifuata hii basis
Boooooooom
2-1 √√√√√√√√√√√√√√√√√√View attachment 938762View attachment 938763
unawaza kwa kutumia akili au utumbobiko/ 3muzuka ets
YapMechi imeahirishwa?
Imeisha 1-1