Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Poa poa mkuuKuwa mstarabu..
makelele kibao na hatuoni ukishea mikeka humu. Uhakika uhakika uhakika blah blahWale wazee wa 10 minutes X uhakika ni sanaaa
Anapigwa huyu anajikaza tumakelele kibao na hatuoni ukishea mikeka humu. Uhakika uhakika uhakika blah blah
Unaweza pasua simu kudadeki,dah!! today is a bad day...kwa mara ya kwanza nmeweka historia ya kuchana mikeka 7 na kuunguza mtaji wote; ila stars Mungu anawaona asee, yaani hata double chance ya stars win or draw imegoma. Yaani gundu la leo sio la nchi maana mpaka mkeka wa odd ya 1.2 totals za basket nao ukachanika. Wacha tu nilale hii haijawah tokea asee...
Niliifuata hii,kilichonipata du!!!Pesa ya saa Tisa alasiri hiyo.View attachment 938437
Meme dakika 5 suruhu nimekula flying kick za atr sembuse hyo ya dkk kumi asee dakika kumi nying saana kwnye soka yanaweza zama hata magoli kumi yahn.....mkuu Mungu anakuona sema tu kama unakula za uso mbna kawaida t.makelele kibao na hatuoni ukishea mikeka humu. Uhakika uhakika uhakika blah blah
Fata nyuki mkuuNiliifuata hii,kilichonipata du!!!
Mtama wa kufa mtu
Ametema pesa kipindi cha pili magoli 6.Niliifuata hii,kilichonipata du!!!
Mtama wa kufa mtu
Niliona baba, ujue baada tu ya kutoka nyau nyau first half,Ametema pesa kipindi cha pili magoli 6.
Ameshatema pesa first half , na second half pia atatema. Tuwe naye sambamba.Pesa IPO hapa ukimkosa first half mfate second half over 0.5.View attachment 938818
Ameshatema pesa first half , na second half pia atatema. Tuwe naye sambamba.
Pamoja.Nimeona mkuu.. Thanks,..
Code yake ni PPQCR ila nimeufanyia modification kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]Nipe code ya hii game