Mkuu ulale tena mjibu sarah kwanzaYote maisha tu! M ngoja nlale zangu tu!View attachment 938872
Aisee Weekend imeisha vyema.View attachment 938873
Ipo sehem gan mkuu sijaiona...? Je ipo kila matches...?Ipo mkuu ila nenda nayo kwa tahadhari usijihamin nayo saana japokuwa kuliwa ni asilimia 8.
Ipo kila matches...?cheki kwenye special events
Mara nyingi wanaiweka kwenye inplay ila ina odds kiduchu sana, vipi umehama 10mins X 100%??????Ipo kila matches...?
Hii ni company gani?cheki kwenye special events
1xbet.comHii ni company gani?
Wadau kuna swala la kumlipa mtu yupo kwenye group lake la betting then anakuwa anakutumia mechi za uwakika ad odds 200 ad correct score san uwa nashindwa kuelewa wanajuaje na nlipo chat nae akanambia na wao wananunua skybet sas hapo ndio npo njia panda kuna ukwel wowot?
Bado mkuu nipo 10 minutes draw uhakika ni sanaaaMara nyingi wanaiweka kwenye inplay ila ina odds kiduchu sana, vipi umehama 10mins X 100%??????
Ipo kwenye game nyingi tu ila odds ni 1. 11 kushuka chini!Ipo kila matches...?
Mi pia nilishapigwaga na ndezi mmoja ana kiji grupu chake telegram anadai yeye ananunua kwa wakenya na wanaijeria flani so tukawa tunamchangia! Nilikuja kujiona mpuuzi maana jamaa ana ushawishi sana nikawa nimempaga 10 akawa anadai 15k per week halafu anashea TIPS na sisi kupitia channel yake telegram! Ubaya ikawa hamna interval ya mikeka anatuma ovyo ovyo halafu mingi matokeo yake unapigwa tu, sasa nikajiuliza huu ni upumbavu gani nafanya? Unalipia mkeka na bado unaliwa tena, shabash zake nikafyekelea mbali ufala huo akaanza hadi kunifuata whatsapp nikablock kabisa sipendagi utoto mimi!hakuna hicho kitu mzee, mi nilishajaribu kununua point mbili tu kutest nazo ziligoma,
1xbet sioni kbsaa mkuu hebu... screenshot nione ilipo hii OPTIONIpo kwenye game nyingi tu ila odds ni 1. 11 kushuka chini!
Dah mi natumia PC so ishu kidogo omba mdau mwenye simu atakuonesha1xbet sioni kbsaa mkuu hebu... screenshot nione ilipo hii OPTION
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
1xbet sioni kbsaa mkuu hebu... screenshot nione ilipo hii OPTION
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app