Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha jus hahaha

Hyo ndo uhakika saaanaaaa

Umeua yhn umetisha mkuu hahahahah

U made ma day boss
 
Nilikuwa nje ya uwanja wa betting kwa mda wadau vip 1xbet kumeshakaa sawa wadau maana nisije nikadeposit nikaona kimya kwa upande wa tigo pesa
 
mambo yako powa ila kabla hujadeposite kumbuka ku-top up kwanza ndo udeposite pia kuna mabadiliko kwenye reference usitumie ya zaman
 
OK mkuu nashukuru sana kwa hiyo niende kwenye top up kwanza ndo itaniletea payment system ya tigo au??
mambo yako powa ila kabla hujadeposite kumbuka ku-top up kwanza ndo udeposite pia kuna mabadiliko kwenye reference usitumie ya zaman
 
Jamani,, ivi ni kwangu tu au,, naona hamna aitel, voda au tigo
Screenshot_20181119-122411.jpg
 
Back
Top Bottom