habari za jioni ndugu,, member mpya hapa ningependa kuchangia na issue ya 1XBET nahisi wako poa tusubiri watarekebisha itakaa poa naona kuna mda inarudi na kupotea, ila kuhusu uaminifu naona wako vizuri wako nchi nyingi sanaaa sidhani kama watakimbia na na pesa zetu, hawa ni kati ya wale wadhamini wakubwa wa tottenham hotspur FC sidhani kama watakimbia na pesa