Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

habari za jioni ndugu,, member mpya hapa ningependa kuchangia na issue ya 1XBET nahisi wako poa tusubiri watarekebisha itakaa poa naona kuna mda inarudi na kupotea, ila kuhusu uaminifu naona wako vizuri wako nchi nyingi sanaaa sidhani kama watakimbia na na pesa zetu, hawa ni kati ya wale wadhamini wakubwa wa tottenham hotspur FC sidhani kama watakimbia na pesa
 
Inavyoonekana 1xbet imekamata soko la Betting Tz, local Company za betting, wabongo wanazikimbia....Kanji hamuwezi Mrusi sokoni....na hivi vikampuni uchwara sijui mcheza, Biko,jiwebet na vyengine mjifunze kwa Mrusi...watu wako kimataifa zaidi....Mrusi anakamua tu kupitia VISA Card nyie tieni fitina ktk sijui mlipa, na njia za cm Mrusi ajali.....jipangeni Sokoni
 
Huko ndipo tunapoelekea acha wabane na ma mlipa yao tutadondokea kwenye mihamala ya kibenk tu no way.
 
Wabongo hawajui biashara majungu tu
 
Hili sina shaka nalo
 
Huyo ndumilakuwili
Huyu mtu ni snitch dah hizo post zake mbili maelezo tosha kabisa eti juu kaponda leo chin anajifanya kusikitishwa shame on him/her na huenda limefek tu habari kutuvunja moyo watumiaji, dah mibongo bana yaan hapo ndio limefikir mpaka mwisho.
 
Afu hamjui tuu hawa wanaotuletea taarifa za 1xbet kufungiwa ndo masnitch wenyewee, utakuta hawahalipwa ata kumi kwa usnitch wao yote uwivu tu kuona green za kina void na wimicky
hawawezi kufungiwa na wanaosema hawalipi kodi kwan iyo 18% wanayokata hua inaenda wapi???? kodi wanalipa bhnaaa
 
Xbet inarudi hata isiporudi tutatumia huduma za kibenki.

Yaani niweke pesa niende kubet Mkekabet? au niende kubet Biko. Si bora ninunue MB hiyo hela niangalie porno.
kuna makampuni ya ajabu nimewahi kuweka ela ile nasubmit mkeka sijuhi website yao ilicheza ikaload pale mda mrefu me nkajua mtandao tatizo nkaclick tena mara ya pili submit, cha ajabu kuja kuangalia betslip nakuta nmesubmit mara 2 alafu kwenye ela pale juu wameniwekea NEGATIVE sijawahi tumia tena ilo kampuni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Moja ya kampuni ambazo siwezi kutia hata mia kubet ni Mkekabet na Biko mengine siyajui ila kampuni pekee ya Tanzania nitakayotumia ni Primierbet tena baada ya 1xbet kupata dharura.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Moja ya kampuni ambazo siwezi kutia hata mia kubet ni Mkekabet na Biko mengine siyajui ila kampuni pekee ya Tanzania nitakayotumia ni Primierbet tena baada ya 1xbet kupata dharura.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Moja ya kampuni ambazo siwezi kutia hata mia kubet ni Mkekabet na Biko mengine siyajui ila kampuni pekee ya Tanzania nitakayotumia ni Primierbet tena baada ya 1xbet kupata dharura.
ila kuna watu wanayatumia na wanafankiwa cha muhimu ni kila mtu anachoamini tu mwingine anatumia mbet na haijawahi kumuangusha, mwngne mkekabet na zote hazijawahi kumuangusha nahisi kikubwa apo ni imani tu ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…