Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
VIP YA SMART PREDICTIONS BRP didy hii application IPO play store au?? Na inaitwaje
VIP YA SMART PREDICTIONS BRP didy hii application IPO play store au?? Na inaitwaje
😀😀watu wamegoma makampuni ya ajabu1xbet ime pause na huu uzi ume pause
umewah kujiunga na Facebook au instagram?
sasa mkuu unakuta mtu anaweza kujiunga Facebook kwa kufuata procedure zote ila huku anahitaj mautundu tenaHahahaha!!!! Yajayo yanafurahisha
Huwa naumia nikiona mtu kala huku odds zikiwa nzuri ila kaweka stake ndogo?natamani nikuchape makofi mawili matatu.
1 won,two to go.
sasa mkuu unakuta mtu anaweza kujiunga Facebook kwa kufuata procedure zote ila huku anahitaj mautundu tena
Ndio kiongozi, nimeshajiunga na hiyo mitandao na naendelelea kuitumia mpaka hivi sasa.umewah kujiunga na Facebook au instagram?
Kuna nini?mbona mi naitumiaDah ela inanipita 1 xbet
Wanashindwa ku depoziti mzee babaKuna nini?mbona mi naitumia
Kudeposit mkuu ndo tatizoKuna nini?mbona mi naitumia
2 won,1 to go.