Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na apa ndo ugumu wa kubetia football ulipo ebu jaribu kujiuliza R MADRID, B MUNICH AC ROMA izi ni timu za kutoa matokeo haya kwa muda mmoja kiukweli football mimi naiogopa sana kuibetia na naona ni ngumu sana na probability yake ya kushinda ni kizungumkuti mazeeeee

Ila pia cha mwisho kabisa Direct win ni hatar kwa afya za wana betting tujitahidi sana kukwepa opt ya dirict win ata kama itakuwa na odds 1.000 Direct win ni opt ngumu sana ata uko ulaya manguri wa kubet wanakwambia jitahidi sana kutoa probability kubwa ya uwezekano wa kutokea kwa ile opt uliyoiopt mfano ukiweka magol ina maana probability ya wewe kushinda inakuwa kubwa lakini hii ya kujifunga kitanzi kwamba Man u lazima ashinde na asiposhinda mpunga wako upeperuke my friend tutaendelea sana kusaga kiatu kwenye rami[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi naiogopa sana opt ya direct win asee ata iwe timu gani siwezi kuipa direct win ata siku moja maana najua ni hatari kwa afya yangu ni bora nichague opt za kuiweka timu kwenye kikapu yaani izungukie umo ndani kwenye kapu na siyo opt za kuiweka timu juu ya dari moja kwa moja wazee yangu ni hayo pole kwa wale wa jana pia Direct win za simba ukiongeza na machungu ya leo mmmmmh[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35] inakuwa ni siku mbaya kweli kweli aseee


NB. MAN U naye yuko njiani
 
Kudeposit skrill to 1xbet....ingia 1xbet nenda top up/deposit bofya
...Zen chagua skrill
...zen weka kiwango na chagua skrill wallet bofya confirm
...Zen weka email yako ya skrill na password
...Zen utakutana na visa card namba uliyoilink kwe skrill hapo utaweka CVV namba hizi zipo nyuma ya kadi yako zipo tatu ...
Bofya PAY NOW

Registration
Mkuu hapo umemaliza mjadala! Full stop!!!
 
Kwa Mara yangu ya kwanza,
Leo mchana nimeziona siku yangu
IMG-20181121-WA0029.jpeg
 
Back
Top Bottom