[emoji3][emoji3][emoji3]HII SIKU HII NA RB WIN OR DRAW,OVER 1.5 WOTE USIKU MWEMA
Mkuu hapo umemaliza mjadala! Full stop!!!Kudeposit skrill to 1xbet....ingia 1xbet nenda top up/deposit bofya
...Zen chagua skrill
...zen weka kiwango na chagua skrill wallet bofya confirm
...Zen weka email yako ya skrill na password
...Zen utakutana na visa card namba uliyoilink kwe skrill hapo utaweka CVV namba hizi zipo nyuma ya kadi yako zipo tatu ...
Bofya PAY NOW
Registration
LEIPZIG [emoji125]*ODDS 6*
MAINZ V BVB (GG)
HERTHA V HOFFENHEIM (GG)
WOLFSBURG V LEIPZIG (GG)
AUGSBURG V EINTRACHT (GG)
Mwenye kupata apate! [emoji460]
Hahaha jus hahahaWewe kweli proffesor uchwara kweli, heeee!! Yaaani nmecheka!! Wenzio tuna siku 3 tunauguza hapa wewe hujui?
Mkuu next tym kama huoni dalili ya sere Tia 12Madrid na kumpa kote double chance anafanya madudu
Msamehe kaka we are differ yahn.Uyu jamaa kama siyo ***** sijui ana matatizo gani asew mwana7me gsni anashobokea dundo za wanaume wenzie namna hii??
Yaaa nimeangaika nayo karibia nusu saa wa puuzi sana hawaYani meridian ni wapuuzi sana nafanya selection karibia mara saba kila nikitaka kusubmit zinafutika hadi nikachoka
Ndugu yangu nilikufuata ila kwa leipzig nikamuua kwa DC ila sasa niliongezea yangu ya schalke 04 GG [emoji2] [emoji2] sijui ntaponaLEIPZIG [emoji125]
Aiseeeeeeeee in void's voiceKwa Mara yangu ya kwanza,
Leo mchana nimeziona siku yanguView attachment 945157
Hao sio kabisa hasa jumamosi ndo wanazidi, nimewalalamikia sana wamenambia wanalijua hilo tatizo wanalishughurikia lakini bado ndo hivyo hivyo ni zaidi ya miezi, nilishawakimbia tayariYaaa nimeangaika nayo karibia nusu saa wa puuzi sana hawa
mkuu unafeli ko ambaye akihitaji msaada wa jambo linalomtatiza ni form 4 #kuuliza siyo ujinga mzee babaWa kwanza tayar umejitokeza!! Nasubr wenzako
Kumbe neymar na mbappe wanaumuhimu kwenye timu 1-0Wale wa psg over 1.5 dakika hizoooo
Safi sana mkuu pambana mpaka ujue bobNimejaribu handcap ya ankai View attachment 945200
Aisee, hongera mkuu.Kwa Mara yangu ya kwanza,
Leo mchana nimeziona siku yanguView attachment 945157