Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kuna aliyefata izi basi dirisha linamuhusu BET WOOOOOOON!!!!View attachment 949013
Screenshot_20181128-122454.jpg
Screenshot_20181128-122447.jpg
 
Benki kuu ya Tanzania BOT imezifungia kwa muda wa mwezi mmoja benki kubwa tano nchini kutojihusisha na ubadilishaji wa fedha za kigeni kutokana na kukiuka kanuni zinazoongoza biashara hiyo.

Benki hizo ni Barclay bank, Exim bank, UBA bank, BankABC, na Azania bank.

Zuio hilo ni kwa biashara ya dola ya Marekani tu.

BOT imechukua hatua hiyo kutokana na kuzidi kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani ambayo sasa ni zaidi ya TZS 2,300.
 
nadhani jamaa walikuwa wakiuza dola 1 kwa bei ya zaidi 2,300 tzs.
 
waliamuwa kuididimiza pesa yetu, lkn B.O.T si huwa anaweka viwango vya mwisho vya kuuza na kununua kwa kila currency sasa hawa jamaa zetu hawakuliona/hawakulijuwa hili?
Ndugu achana na mambo za siasa even Zimbabwe BOT yao ilikuwa inafanya ivyo na sababu ilikuwa inatoa kama izo lakini kilichokuja kutokea si ulikionaa????
 
Back
Top Bottom