Bet won 26/25Oya wadau mliuza mi nimeuza mapema kabisa maana stress siziwezi
Tumia VisaCard au MasterCard ya benk yoyote itakayokupendeza.Naomba kujuzwa namna ya kulipia 1xbet
Niliiona hii Jana sema hela yangu iko traffic mtandaoni mpaka sasa hivyo sikuwa na mtaji,Congratulations [emoji323][emoji324][emoji322]
Kama Ulifwata Jana Woon[emoji736][emoji736]
UEFA
PSV - Barcelona[emoji736][emoji736][emoji736]
Pick ov 2.5
UEFA
PSG - Liverpool[emoji736][emoji736][emoji736]
Pick Ov 2.5
Panda dau nikutumie nahitaji walau 50kJamn mwny salio la 10000 anisaidie m nitumie mpesa
Wakuu nawithdraw hela kwa Visa inagoma baada ya muda status inakuwa rejected anayehitaji salio 1xbet iwe kuanzia laki moja anichek asap
Niliiona hii Jana sema hela yangu iko traffic mtandaoni mpaka sasa hivyo sikuwa na mtaji,
Lakini nilivyocheck nondo yako niliikubali sana.
Subili Za Leo Zako Soon
Panda dau nikutumie nahitaji walau 50k
Aaaaah hongera bob mimi niliuza kumba wakawa wamekataa kununua ndo nimekuja kuangalia nakuta mpunga umerudishwa maana zimelingana point mzeiya ila poa sana najua tayari now ushapata ela ya supu mzee au siyoMkuu me siuzagi jamvi principle nile au niliwe nilikomaa nalo ahahaha.
Aaaaah hongera bob mimi niliuza kumba wakawa wamekataa kununua ndo nimekuja kuangalia nakuta mpunga umerudishwa maana zimelingana point mzeiya ila poa sana najua tayari now ushapata ela ya supu mzee au siyo