Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tehetehe
Screenshot_20181129-110859.jpeg
 
Daaah, ngoma imekubariiiiiiiiii.Sasa nirudi kwenye upako wangu wa awali. Daaah, ngoja nisukumie hii deposit iliyonichukua wiki tatu na wimbo wa angel benard siteketei si angamii.
 
Daaah, ngoma imekubariiiiiiiiii.Sasa nirudi kwenye upako wangu wa awali. Daaah, ngoja nisukumie hii deposit iliyonichukua wiki tatu na wimbo wa angel benard siteketei si angamii.
Unatumia bank gan na tatizo lilikua ni nini
Maana na yakwangu imegoma
 
Wakati mwingine tunaweza tukawa tumekwepa matatizo ya M- lipa, tukaingia mengine ya Bank.
Tujiandae kukwama either wakati wa kudeposit au kuwithdraw hasa pale bank wanapokuwa wanafanya "maintenance for international transactions systems" .. (matengenezo ya mifumo ya malipo ya kimataifa) bank nyingine inaweza kuchukua siku mbili au tatu kabla ya kutengamaa.
 
Jaman please aliye na salio 1xbet anilushie kwene akaunt yangu hata 20,000 then mie nimlushie 30,000 Mpesa,please naumia jaman,,,please please nsipobet naugua....
ukipata nitag naweza kufa nna 100k af sina kaz nayo naumiaa sana
 
sikukukosea nilikosea kuamua

nikadhani umenikosea sana nkashindwa kuchagua

machozi yangu na maumivu yanahusiana unajua

naweza fanya chochote rudi 1xbet mungu anajua

bado sibet kwingine tangu ulivoniacha sure

huwa nasali ila sifungi mawazo yananipa ulcers

wananicheka ujinga coz nakuongelea wewe tu

nikiongelea kubet mfano wangu wa kwanza ni wewe tu

kama ni ndoto naomba mungu iishe mapema

naona mateso ka naibeba dunia nzima

nashindwa kula nashindwa kulala kila kukicha naumia kama tuliachana jana

ni jeuri tu zinaniumiza yasingefika huku kama ningecheza vizuri inplay

ukirud sikuachi uende tena

kwan kuna mtu ANATESEKA KAMA MIMI
 
Kama zamani FA akiwa na man dojo na domokaya... umetisha sana mzee ubunifu wa hali ya juu

Umenifanya ni idownload kabisa hii ngoma
 
Back
Top Bottom