Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1543490648951.png

..
 
regula time ni mda wa kawaida wa game kuisha yaa after 4q mara nying ni dk 40 ila kwa china...philipines na NBA ni 48mnts


over time ni mda wa nyongeza baada ya team kutoshana nguvu kwenye regular time...basket haina draw hivo over time hutokea kwenye draw ya dk za regular time



3POINTS ni points za nje ya D kwenye kikapu ingekua football tungesema magoli ya nje ya boksi





uliza lingine lolote
HT zipo ngap na kila baada ya muda gan
 
Umeona away alivokuwa anakimbiza karibia 1ht q ya mwisho amebaki kasimama tu
Yani meridian hawadisplay each quarter ina vikapu vingapi wao wanaweka total so huwezi jua quarter ipi nani kaongoza inakua ngumu kuweka bet
 
Daaaaah jana basket zilukua adimu nikasema nidondokee soccer nimekula za uso kuanzia total over mpaka DC

Leo Mpenzi mtazamaji
 
Makato yakoje mkuu ni makali au yakawaida najua ningumu kupata general answer haswa ukizingatia kiasi kina varies kulingana na uhitaji
Ukali wa makato inategemeana na bank, wengine wanatoza kwa percent kutegemeana na kiasi na wengine wana fixed amount. Kwamfano UBA kila unapofanya malipo wanakata sh.6,000/= kwa kila muamala haijalishi kiwango unachodeposit.
 
Kampuni za kitanzania bure kabisa, yaani hata kujibu maswali hawajibu. Unawatumia ujumbe wanausoma tu kimya kimya.
 
Ukali wa makato inategemeana na bank, wengine wanatoza kwa percent kutegemeana na kiasi na wengine wana fixed amount. Kwamfano UBA kila unapofanya malipo wanakata sh.6,000/= kwa kila muamala haijalishi kiwango unachodeposit.
Vipi kuhusu crdb? Mimi leo nmeenda kusajili card yangu nasubiria msg ya verification nianze kukufollow maujanja yenu na akina ankai na wengine humu
 
Back
Top Bottom