Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap

Record Pembeni halafu unakuja ku attach audio inakuwa rahisi zaidi
 
In play
Screenshot_20181129-170624.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20181129-170624.jpeg
    Screenshot_20181129-170624.jpeg
    47.3 KB · Views: 31
Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
Fanya hivi mkuu chukua simu yako kisha jirekodi kama kawaida halafu hiyo rekoda utaipost hapa kama attachment tena inakubali vizuri tu.
 
Jamani hivi namba nilizotumia kudeposit kwenye card ninapotoa ninatumia hizo hizo au?
 
Inakubali, hapo ilipofika inahitaji codi ambazo unatumiwa unaweka hapo kisha inakuwa imekamilika
Mimi natumiwa hizo code lakini mpunga hauendi 1xbet na sms ya successfull naipata sijui kwa nn
 
Ivi inawezekana kweli kutumia MasterCard ya voda kufanya deposit?
Nimejaribu Leo tena Mara 3 haieezekani,
Account nimefungua na nikatupia kabisa na 2,000 kama sample lakni nikifanya muamala inakuwa ina purchase vizuri mno lakni at the end nothing is going on
 
Kuwait
Match: Al Sharjah Sc - Al Wasl
Tip: 3+
Time: 18:30
Extra tip: GG

International Games
Match: Astana - Dynamo Kiev
Tip: GG
Time: 18:50
Extra tip: Ov1.5

International Games
Match: Spartak Moscow - Rapid Vienna
Tip: FT 1
Time: 18:50
Extra tip: GG

Egypt
Match: Ennpi - Al Masry
Tip: GG
Time: 20:00
Extra tip: Ft X

Morocco
Match: FUS Rabat - Chabab Hocenia
Tip: FT 1
Time: 20:00
RICK: CS 3-1

Norway
Match: Alesunds - Sogndal
Tip: GG
Time: 20:00
Extra tip: HT 0-0

International Games
Match: Krasnador - Akhisar
Tip: FT 1
Time: 20:00
Extra tip: GG
 
Back
Top Bottom