Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na wengine tulio empty kwenye basket tunapatia hapahapa sikuwa najua hizo free throws ndio zile anazopewa opponent, be blessed mkuu.
ndani ya D ni 2 points...one point ipo pale tu zinapotokea free throws yaan ki football penat hua free throws zinaanzia 1 mpaka 3 hutegemea aina ya faulo na eneo
 
HT ni kifup cha half time hivo zipo mbili...firs half ina 1Q na 2Q ambazo ni dk 20 jumla au 24 kwa NBA PHILIPINES NA CHINA...second half ni 3Q na 4Q ambapo nazo huchukua dk 20 mpaka 24 kwa baadh ya ligi hasa tajwa hapo juu....over time huesabiwa kama second half
Nimeelewa mdau
 
Wadau Habari Za Mda Huu..... Naomba Mnisaidie Tips Za Leo Kwasababu Jana Muhindi Kanilaza Njaa
Chukua hizo odds!
Screenshot_20181129-154155.jpg
 
WAkUU HABARI ZA JIONI?

NAOMBA KUFAHAMISHWA KAMPUNI ZA TZ AU ZENYE TAWI HAPA TZ AMBAZO ZINAFANANA NA 1XBET YAANI UNAPATA INPLAYS ZOTE MPAKA ZA MCHANGANI NA PIA HAZIKATI KODI
 
Ingekuwepo hio mpaka leo hii hakuna ambaye angeshuhulika na 1xbet kabisa mkuu! Inshort utamaliza bando, hamna kampuni ya namna hio nchini!
 
Inakubali, hapo ilipofika inahitaji codi ambazo unatumiwa unaweka hapo kisha inakuwa imekamilika
 
Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
 
Nenda hapo kwenye reply box bonyeza attach file itakuja sehemu ya Ku choose photo files or sound nenda sound then record
 
Mkuu andika tu hata kama ni kwa episode sio mbaya maana sizan kama kuna option ya voice note jf.

Back
Top Bottom