Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe endelea kutunza bank ,wenzako wanabetia wanapata faida maradufu. Tehtehteh. Halafu unadanganywa betting ni umasikini, kama ingekuwa ni umasikini Benki zisingebet.
benk gani inayobet...hahaha..kuna jamaa yupo mahututi ameliwa 3m ..anazinduka na kuzimia...je hayo so majanga?
 
Utashangaa Leo ac Milan anakosesha watu hela na odd yake ya 1.07
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…