Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mkuu zitarudi tu usihofu, ngoja kuna siku huwa naleta 99% percent winning.Tatizo boss unabeti mwenyewe tu bado nina maumivu ya jana ya kupigwa 500K na kabuku nikakaweka kichwa kichwa kakaendaaa mikeka yako ipost kabla haijatiki