Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna huyu mbu anaitwa soka255 anakera xana humu ndan

SURUHISHO NI NINI
inabidi kila member wa humu afanye kumkaushia ata aongee pumba gan nyie muacheni2 atajiona fala ataacha2
maana hawa form 4 wamekuja likizo wanakuwaga kama wehu
 
mi nina PhD bosi...form 4 ndo takataka gani hiyo
 
WALIOCHEXA SINGLE CONGS
ANDERLECH X BOOOOOOOM 3+
SPORTING CP WIN 2.3...+ ODDS

WAHI SEVILA FT X

POWER OF SINGLE
 
Mkuu mzinguaji tu huyu na yeye punter mzur anazingua mwisho anatoa tip safi kabisa ahahaha.
kuna huyu mbu anaitwa soka255 anakera xana humu ndan

SURUHISHO NI NINI
inabidi kila member wa humu afanye kumkaushia ata aongee pumba gan nyie muacheni2 atajiona fala ataacha2
maana hawa form 4 wamekuja likizo wanakuwaga kama wehu
 
In play

Chelsea vs paok

First to happen: Offside or Card from 6:00min to 10:59min- NONE OF THEM

Odds: 1.33
 
Inplay

Chelsea vs paok

First half fouls: Total under 12.5 fouls at first half

Odds: 1.45
 
In play

Rangers vs Villarreal

First half yellow card: Double chance to any team- YES

Odds: 1.62
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…