Loss[emoji134][emoji134]Ndoano hapoView attachment 974234
Woooon!Hapa napo ngoja tuoneView attachment 974237
Hahaa mungu anakazi sanaWakati huo huo na mimi naombea Liverpool wabane ili over 4.5 isitoke. Mungu ana Kazi sana huko aliko.
Under ni hatari kwa afya yakoBasket ya kifala sana yaani timu dakika zinaendelea vikapu vile vile
Weka under uone misifa yao
Duuh wamelingana hawa,,Bet Loss kikapu kimoja
weka uone mchawi ni naniMikeka ya leo ya over 0.5 mechi 20 nitie laki naomba Mr mollel
Kati ya atletico na Barcelona kuna mmoja mchaw hapoVp wadau hilo gamba liko poaView attachment 974294
Hapo Barcelona nimpe ashinde au draw na atletico ashinde au apotezeKati ya atletico na Barcelona kuna mmoja mchaw hapo
LimetuliaVp wadau hilo gamba liko poaView attachment 974294