Siku moja moja mkuuDuh mzeebaba umedondosha 150 hataree sana
Kama uliweka first half, umekula kama mimi. Otherwise umetahiriwa.Lazio under 2.5 duuuh 35k inasepa daahhhh...asipate goli boya huyu
bet lost ...mamamameeeLazio under 2.5 duuuh 35k inasepa daahhhh...asipate goli boya huyu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu una roho ngumu sana na una mapumbu ya chuma... Timu nane afu unatia 150k. Hope you win.
[emoji23] [emoji23] we baki tu
Mpk utie akiliitabidi nipumzike kwanza...Jana mkoloni mamboleo Leo tena hiyo singo..aisee
muulize huyo jamaa kwenye avatar yako....tententente...siku imeaharibika hii ..unaweza kummeza mtu mzima mzimaMafundi vipi weekend inaenda?
Aiseeee...vp leo hujatoka kutembeza line?muulize huyo jamaa kwenye avatar yako....tententente...siku imeaharibika hii ..unaweza kummeza mtu mzima mzima
Inaweza kutokea maana Frankfurt wako vizuri sasa hiviNataka kujilipua hapaView attachment 974543
weekend mapumziko bhanaAiseeee...vp leo hujatoka kutembeza line?
Dah kweli..weekend mapumziko bhana
Mechi za Italy zote ziko live na mechi kama 6 zote bila bila dakika ya 43.. Hatari sana.Tupo hapaView attachment 974642