Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
Hahaha hajatuangusha wooooonTupo hapaView attachment 974642
Hahaha hajatuangusha wooooonTupo hapaView attachment 974642
KashatemaTupo hapaView attachment 974642
Mapema tu.Hahaha hajatuangusha wooooon
Wamwage lakn watupe magoli tu baseither Bayern or Juventus mmoja wao analimwaga
stay tuned
Mechi ikifika dk ya 40+ bila goli odd zinakuwa tamu sanaMechi za Italy zote ziko live na mechi kama 6 zote bila bila dakika ya 43.. Hatari sana.
Kwa mechi za EPL sawa ila Sio kwa mechi za Italy. Italy ni balaa. Nyau nyau SA full time ni za kufikia tu.Mechi ikifika dk ya 40+ bila goli odd zinakuwa tamu sana
Tehtehteh, baadhi kama akina Genoa huwa wanatema hata mwishoni.Kwa mechi za EPL sawa ila Sio kwa mechi za Italy. Italy ni balaa. Nyau nyau SA full time ni za kufikia tu.
Mkuu vipi over 0.5 umeona mizinguo amaYani taratiiiiibuuu...View attachment 974660
Nipo kwenye mfumo mpya mkuu. Nadhani unaona matokeo yake. Odds 2 za uhakika, nagawa mikeka mitatu kila mkeka timu 3. Natulia.Mkuu vipi over 0.5 umeona mizinguo ama
Hapo sawa nakuona umeopt kivingine ila inatoaNipo kwenye mfumo mpya mkuu. Nadhani unaona matokeo yake. Odds 2 za uhakika, nagawa mikeka mitatu kila mkeka timu 3. Natulia.
Kabisa mikeka mi5, nimeshnda mi4Hapo sawa nakuona umeopt kivingine ila inatoa