Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wa 3 kwa leo
20181222_191852.jpg
 
Direct win ni hatari kwa mkeka wako! Wale wa magoli na wasio na tamaa muda huu wanacheka tu..ata wafungane goli mia..
 
Mkuu hii either half win home ndio inakuaje. Yaan home lazima ashinde kktk vipind vyote au ashinde angalau kipind kimoja.?
Either half win home - maana yake timu ya nyumbani itaongoza kipindi kimoja kati ya viwili vya mechi. Aidha aongoze cha kwanza ama cha pili.

Either half win away - maana yake timu ya away itaongoza moja ya half, ya kwanza ama ya pili.
 
warusi wanatengeneza pesa ....Leo ndo siku watayopata faida maximum kabisa....tententente
 
Back
Top Bottom